Sunday, March 3, 2013
Wadau kabla ya kuendelea napenda kuwafahamisha kwamba nitakuwa naandika makala mbali mbali za Teknolojia ya habari na Mawasiliano kwa Kiswahili.
       Kadri ziku zinavyozidi kwenda ndivyo na Teknolojia inavyo badilika. Hivyo basi inatulazimu nasisi tubadilike kwa kadri Teknolojia inavyobadilika, lasivyo tutajikuta tunabaki kwenye analojia . 
     Unajua kama unaweza kutumia flashi yako kuweka programu za kampyuta ni rahisi sana. Kuweka programu za kumpyuta kwenye  flash kutakusaidi wewe badala ya kutembea na computer unabeba flashi yako tu na kutumia computer yoyote, si unaona maisha yalivyo rahisi. Programu hiyo inaitwa Portable App ni bure kabisa haiuzwi. Kabla sijaendelea na maelezo ya jinsi ya kuitumia tafadhali shusha hapa PORTABLEAPPS kisha chagua hii hapa Version 11.2 for Windows, Multilingual (55 Locales)3MB download / 6MB installer
      Jinsi ya kuisimika au kuiweka baada ya kuishusha. Kabla ya kusimika hakikisha flash yako haina kitu usichanganye na vitu vingine.

Tafuta  hapa

Kuhusu sisi

Karibu kwenye Blog hii, naamini hautatoka bure na wala hautajuta kuitembelea Blog hii. Karibu sana

Habari Maarufu

Blog Malimbali

All rights reserved by Mwafrikasili - Blog design by ARM's pRo. Powered by Blogger.

Tafsiri

Hati Miliki

© 2013 Mwafrikasili


Jiunge Nasi

Jisajilikwenye blog hii
Twitter
Facebook