Sunday, March 3, 2013
JINSI YA KUTUMIA FLASH YAKO KWA KUWEKA PROGRAM ZA COMPUTER
12:06 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Wadau kabla ya kuendelea napenda kuwafahamisha kwamba nitakuwa naandika makala mbali mbali za Teknolojia ya habari na Mawasiliano kwa Kiswahili.
Kadri ziku zinavyozidi kwenda ndivyo na Teknolojia inavyo badilika. Hivyo basi inatulazimu nasisi tubadilike kwa kadri Teknolojia inavyobadilika, lasivyo tutajikuta tunabaki kwenye analojia .
Unajua kama unaweza kutumia flashi yako kuweka programu za kampyuta ni rahisi sana. Kuweka programu za kumpyuta kwenye flash kutakusaidi wewe badala ya kutembea na computer unabeba flashi yako tu na kutumia computer yoyote, si unaona maisha yalivyo rahisi. Programu hiyo inaitwa Portable App ni bure kabisa haiuzwi. Kabla sijaendelea na maelezo ya jinsi ya kuitumia tafadhali shusha hapa PORTABLEAPPS kisha chagua hii hapa Version 11.2 for Windows, Multilingual (55 Locales)3MB download / 6MB installer
Jinsi ya kuisimika au kuiweka baada ya kuishusha. Kabla ya kusimika hakikisha flash yako haina kitu usichanganye na vitu vingine.
Bofya PortableApps.com_Platform_Setup_11.2 na endelea kufuata maelezeko kama ifuatavyo:-1. Chagua Lugha
2. Bofya I Agree
3. Bofya Browse
4. Chagua My Computer
5. Tafuta flashi yako ibofye mara moja na kisha bofya Ok.
Mpaka hapo utakuwa umekamilisha zoezi sasa chagua na shusha program nyingine za bure uzipendazo kwa kuweka vema kwenye kisanduku na kisha bofya Next subiri . Angalia mfano wa picha hiyo hapo chini.
Tafuta hapa
Kuhusu sisi
Karibu kwenye Blog hii, naamini hautatoka bure na wala hautajuta kuitembelea Blog hii. Karibu sana
Habari Maarufu
-
Code of ethics/code of conduct The term code of ethics and code of conduct have been used interchangeably by teachers and organizatio...
-
TAMBUA MUDA WA KUISHA MATUMIZI YA TAIRI ZAKO Tairi za gari/ pikipiki zinamuda maalumu wa matumizi hivyo ni muhimu sana kujua muda ha...
-
In most communities, there has been, and there still is, a deeply embedded conviction that, under proper conditions, people can help ot...
-
Da da huyu hana mikono lakini mambo anayo yafanya naamini hata wewe lazima ushange
-
K weli huyu mbunifu wa jengo hili anastahili pongezi za dhati. Kwa kuwa jengo ni imara pamoja na kunyeshewa na mvua nyingi halijawah...
Blog Malimbali
All rights reserved by Mwafrikasili - Blog design by ARM's pRo. Powered by Blogger.
Tafsiri
Hati Miliki
© 2013 Mwafrikasili
0 Maoni:
Post a Comment