Monday, September 15, 2014


TAMBUA MUDA WA KUISHA MATUMIZI YA TAIRI ZAKO
Tairi za gari/ pikipiki zinamuda maalumu wa matumizi hivyo ni muhimu sana kujua muda halali wa matumizi ya tairi yako ili kupunguza ajali na hasara zisizo za lazima.

Kwa kawaida tairi zilizo nyingi maisha yake ni miaka mine tu toka muda zilipotengenezwa nje ya hapo tairi inaweza kulipuka au kupasasuka wakati wa zinapopata joto kwa sababu madawa na mpira ulotumika umepitwa na wakati.
Kujua tarehe ya angalia mfano huu ,katika tairi kuna namba nne zikiwa katika fungu moja 0504 hivyo hii inamaanisha kuwa tairi yenye alama hii itakwisha muda wake wa matumizi wiki ya  5 ya mwaka 2018 hivyo kuwa makini unaponunua tairi za gari yako kwa usalama wako.

Tyres have expiry date. To start with, vehicle tyre have a 4-year validity period from their Date of Manufacture (DOM). Thereafter, the tyre expires and may burst whilst in use.

*How to find out whether your tyre has expired? First, check for a stamp like this: (*0504*). There is an asterisk at the beginning and at the end of this serial number (Some tires don't have asterisk).

*The First two digits are the week so 0504 is fifth week in 2004. Therefore, *0504* shows that the said tyre is manufactured in the 5th week of the year 2004

*Check all your tires for safety purposes. Do not use expired tires. They are likely to burst, especially when running in hot weather because the rubber component may have hardened and cracked

0 Maoni:

Post a Comment

Tafuta  hapa

Kuhusu sisi

Karibu kwenye Blog hii, naamini hautatoka bure na wala hautajuta kuitembelea Blog hii. Karibu sana

Habari Maarufu

Blog Malimbali

All rights reserved by Mwafrikasili - Blog design by ARM's pRo. Powered by Blogger.

Tafsiri

Hati Miliki

© 2013 Mwafrikasili


Jiunge Nasi

Jisajilikwenye blog hii
Twitter
Facebook