Tuesday, September 17, 2013
Tabia Zitakazokimbiza Wachumba
12:27 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Tabia
Zitakazokimbiza Wachumba
Posted by womanofchrist
Wasichana wengi wanalalamika mimi
sijaolewa, akija mtu kunichumbia baada ya muda mfupi
Thursday, May 9, 2013
JINSI YA KUZUIA MATANGAZO KWENYE MOZILA FIREFOX
9:38 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Watumiaji wengi wa mtandao wamekuwa wahanga wa matangazo mbalimbali(mengine yasiyofaa kwa maadili ),Hii yote inatokana na watu kubofya bofya vitu wasivyo vijua kwenye mtandao(wakiwa online au wakiperuzi)na kujikuta wameruhusu matangazo hayo.
Tuesday, April 23, 2013
HUYU MTOTO NOMAAA
11:29 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Saturday, April 20, 2013
JE WEWE UNAOGOPA KUDAIWA BASI MTAZAME MCHEKESHAJI WA UGANDA KANSIIME ANNE
8:17 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
CHUKUA DAKIKA ZAKO CHACHE KUMTAZAMA HUYU DADA
7:52 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Friday, March 29, 2013
MHANDISI HUYU NI MBUNIFU
1:27 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Kweli huyu mbunifu wa jengo hili anastahili pongezi za dhati. Kwa kuwa jengo ni imara pamoja na kunyeshewa na mvua nyingi halijawahi kuanguka tofauti na maghorofa yaliyojengwa na nondo na cement bado tunashuhudia yakianguka.
Sunday, March 17, 2013
BIASHARA INAHITAJI UBUNIFU,JIFUNZE KWA MJASILIMALI HUYU
1:12 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Kwa stail hii hata kama hutaki kununua kahawa ya huyu mheshimiwa ni lazima utahitaji akusogelee ili umuone vizuri na hapo ndo utajikuta unanunua kahawa yake.
Tunahitaji ubunifu wa aina hii katika sekta ya viwanda na teknolojia.
Tunahitaji ubunifu wa aina hii katika sekta ya viwanda na teknolojia.
Friday, March 8, 2013
HIVI HUYU DADA ANAMIFUPA KWELI
9:56 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Tuesday, March 5, 2013
NANI KAMCHOKOZA MWENZAKE?
12:32 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Kama nilivyoeleza hapo juu ni kweli kuna baadhi ya wanyama wana asili ya upole kwa mfano swala, nyumbu nakadhalika. Sasa sielewi nani kati ya hao hapo juu amemchokoza mwenzie ( askari wa wanyama pori au mnyama)
Sunday, March 3, 2013
JINSI YA KUTUMIA FLASH YAKO KWA KUWEKA PROGRAM ZA COMPUTER
12:06 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Wadau kabla ya kuendelea napenda kuwafahamisha kwamba nitakuwa naandika makala mbali mbali za Teknolojia ya habari na Mawasiliano kwa Kiswahili.
Kadri ziku zinavyozidi kwenda ndivyo na Teknolojia inavyo badilika. Hivyo basi inatulazimu nasisi tubadilike kwa kadri Teknolojia inavyobadilika, lasivyo tutajikuta tunabaki kwenye analojia .
Unajua kama unaweza kutumia flashi yako kuweka programu za kampyuta ni rahisi sana. Kuweka programu za kumpyuta kwenye flash kutakusaidi wewe badala ya kutembea na computer unabeba flashi yako tu na kutumia computer yoyote, si unaona maisha yalivyo rahisi. Programu hiyo inaitwa Portable App ni bure kabisa haiuzwi. Kabla sijaendelea na maelezo ya jinsi ya kuitumia tafadhali shusha hapa PORTABLEAPPS kisha chagua hii hapa Version 11.2 for Windows, Multilingual (55 Locales)3MB download / 6MB installer
Jinsi ya kuisimika au kuiweka baada ya kuishusha. Kabla ya kusimika hakikisha flash yako haina kitu usichanganye na vitu vingine.
Thursday, February 21, 2013
9:37 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
HILI NI MIONGONI WA MADARASA YA SHULE ZA KATA
9:33 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Tuesday, February 19, 2013
dawa ya watoto wasumbufu hii hapa
9:59 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
mama wa mtoto huyu alistahili kupewa udaktari wa heshima kwa ubunifu wake,mtindo huu utawawezesha akina mama wengi wa kiafrika kupata muda mzuri zaidi wa kufanya kazi za manndeleo hasa wanapokuwa na watoto wanaopenda mgongo kama huyu,je wewe ni moja wao?
usingizi hauna adabu
9:54 AM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Kwa kweli watanzania ni wavivu huyu naye amemuaga mkewe kuwa naenda kazini,lakini anaenda kazini kulala, je inamaana hana kitanda?au kafukuzwa na mkewe?au ni asili yake uvivu huu?kwa stahili hii itatuchukua miaka 200 kupata maendeleo
Monday, February 18, 2013
JE WAJUA NINI HTOKEA UNAPOFUNGWA?
1:05 PM
| Posted by
MWAFRIKASILI
|
Tafuta hapa
Kuhusu sisi
Karibu kwenye Blog hii, naamini hautatoka bure na wala hautajuta kuitembelea Blog hii. Karibu sana
Habari Maarufu
-
Code of ethics/code of conduct The term code of ethics and code of conduct have been used interchangeably by teachers and organizatio...
-
TAMBUA MUDA WA KUISHA MATUMIZI YA TAIRI ZAKO Tairi za gari/ pikipiki zinamuda maalumu wa matumizi hivyo ni muhimu sana kujua muda ha...
-
In most communities, there has been, and there still is, a deeply embedded conviction that, under proper conditions, people can help ot...
-
Da da huyu hana mikono lakini mambo anayo yafanya naamini hata wewe lazima ushange
-
K weli huyu mbunifu wa jengo hili anastahili pongezi za dhati. Kwa kuwa jengo ni imara pamoja na kunyeshewa na mvua nyingi halijawah...
Blog Malimbali
All rights reserved by Mwafrikasili - Blog design by ARM's pRo. Powered by Blogger.
Tafsiri
Hati Miliki
© 2013 Mwafrikasili